Business Insider: Zaidi Ya Nusu Ya Waajiriwa Watafukuzwa Kazi Kufikia 2030

Business Insider: Zaidi Ya Nusu Ya Waajiriwa Watafukuzwa Kazi Kufikia 2030

Muongo huu ndiyo ulioshuhudia mavumbuzi makubwa ya sayansi na teknolojia. Moja ya hayo ikiwemo roboti zenye akili bandia. Mpaka sasa vifaa vimekwisha anza kuwekewa akili sawa na binadamu. Hii imefanya ajira zetu kuwa hatarini!!!. Continue reading Business Insider: Zaidi Ya Nusu Ya Waajiriwa Watafukuzwa Kazi Kufikia 2030